nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
Habari wana jukwaa...
kwa wale wapenzi wa riwaya za mtunzi Ben Mtobwa, kwanza napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru wote kwa kuweza kuwa chachu ya kuendeleza kazi za Mzee.
Kwa mara nyingine tena, tumefanikiwa kutoa kitabu chake kipya kabisa alichokiandika kabla ya mauti kumfika.
Kitabu hiki ni kinaitwa KIGUU NA NJIA kinachomuhusu Petro Kionambali ambaye anapaswa kutoroka kijijini kwao Buha baada ya baba yake kupata taarifa kuwa mtoto wake anapaswa kutolewa kafara ili kijiji chao kipate mvua...
Ni hadithi inayoelimisha, kufurahisha na kukujuza mengi ambayo pengine hukuwahi kuyafahamu.
Riwaya hii iatapatikana kwa shilingi 15,000 za kitanzania kuanzia tarehe 7 ya mwezi huu wa tisa.
pamoja na Kiguu na Njia, kuna vitabu aina kumi mpaka sasa kama ifuatavyo;
1/ ZAWADI YA USHINDI 7,000
2/ MIKONONI MWA NUNDA 10,000
3/ DAR ES SALAAM USIKU 10,000
4/ MALAIKA WA SHETANI 10,000
5/ NAJISIKIA KUUA TENA 10,000
6/ MIKATABA YA KISHETANI 10,000
7/ TUTARUDI NA ROHO ZETU? 10,000
8/ SALAMU TOKA KUZIMU 10,000
9/ MTAMBO WA MAUTI 10,000
10/ ROHO YA PAKA 10,000
Kwa atakayehitaji anaweza kujipatika katika duka la KONA LA RIWAYA lililopo kindondoni au Posta mpya karibu na sanamu la askari.
Kwa maelezo zaidi tafadhali piga simu namba 0763044459.
Karibuni wote.