Kitabu kipya "Asemavyo Zitto"

Alikuwa wapi siku zote kuzindua hicho kitabu?

Huyu jamaa anaonesha ni namna gani alivyojawa hila...

Ni mpuuzi tu ambaye atashawishika kufuata mitazamo ya huyu mbweha aliyejificha ndani ngozi ya kondoo...
 
Natarajia the book is full of old rhetorics and cheap self tout, huyu jamaa ni msaliti wa maendeleo ya taifa letu. I'm looking forward to what he'll become after Oct. He'll be a used utensil full of leftovers fit to be trashed.
 
Ila jamaa pamoja na usomi wake, ni mshamba sana
 
Mwisho wa huyu dogo utakuwa kama wa Mrema, Lyatonga. Mwenzake angalau umri umeenda. Sijui kwake itakuwaje nguo zote zikipauka!
 
bora ya wewe uliyeongea anapenda sana misifa saa yashamgeukia pabaya sijui atafanyaje atalambwa hela zote alizotoka nazo bungeni na hata zile za kule ujerumani wamtakomba hawajui watanzania huyu anaona amewin kumbe amejikoroga na kujitumbukiza biriikani ilihali yuhai
Mwisho wa huyu dogo utakuwa kama wa Mrema, Lyatonga. Mwenzake angalau umri umeenda. Sijui kwake itakuwaje nguo zote zikipauka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…