Aliyesoma kitabu cha Joseph Murphy “The power of your subconscious mind”, naomba tujadili kuhusu yaloyozungumzwa humu ndani

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,113
45,832
Kitika Kitabu hiki Kuna maelezo mengi Sana kuhusu Maisha ya binadamu. Binafsi Mimi nahitaji Kupata shuhuda kutoka kwa watu waliosoma hiki Kitabu .

Kuhusu suala la Umasikini na utajiri (poverty and wealthy) kwamba kupitia your (Subconscious mind )

Kuwa unavyoiambia subconscious mind yako unahitaji kuishi Maisha fulani ukawa umedhamiria ndani yako kuwa unahitaji Basi hayo Maisha utayapata na utayaishi.

Then anazungumzia kuhusu suala la Umasikini na utajiri kuwa lipo katika Akili yako ukiweza unlock ur mind Basi ur no longer a poor .

Screenshot_20230822-032052.png

Mafanikio ni mkusanyiko wa mambo ila mtazamo wako akili ndo unabeba Mafanikio yako.
 
Vipin kwanza ye mwenyewe anahela au ndo kwangu pakavu Tia mchuzi napenda mchawi ndo anifundishe uchawi
 
Kitika Kitabu hiki Kuna maelezo mengi Sana kuhusu Maisha ya binadamu. Binafsi Mimi nahitaji Kupata shuhuda kutoka kwa watu waliosoma hiki Kitabu .

Kuhusu suala la Umasikini na utajiri (poverty and wealthy) kwamba kupitia your (Subconscious mind )

Kuwa unavyoiambia subconscious mind yako unahitaji kuishi Maisha fulani ukawa umedhamiria ndani yako kuwa unahitaji Basi hayo Maisha utayapata na utayaishi.

Then anazungumzia kuhusu suala la Umasikini na utajiri kuwa lipo katika Akili yako ukiweza unlock ur mind Basi ur no longer a poor .

View attachment 2724788

Mafanikio ni mkusanyiko wa mambo ila mtazamo wako akili ndo unabeba Mafanikio yako.
Share hyo softcopy tuipitie mkuu....tutarudi kukomenti hapa
 
Hiki hapa
Npo half way mbaka sas chapta 10. Jamaa anaandika vitu vingi vigumu kwa binadamu wa kawaida kung'amua. Angalia wachache wenye yale maakili walivyombali, watu kama kina late Mengi, Shirima, Mufuruki kwa haraka wanaangukia humo. Nimesoma kitabu cha mzee Mengi pia, jinsi anatoka kwny ajira mbaka anafanya biashara kufikia levo zile yani ni subconscious tupuu. Ingawa hawa jamaa kuna mishe zao hawawezi weka wazi pia zinawapa mawe sana.

Kushika pesa nyingi kunahitaji akili sana, angalia wangapi walizipata alafu zikayeyuka tu. Uzuri hiyo subconscious unaiona ww tu. Ndo zile nini za ali nacha sijui. Nilitaka niache kukisoma mwanzo mwanzo lakini nimekimbiza chapta nyingi zinataka kufanana na wale kina atomic habits, baba tajiri baba maskini, think big unleash your potential.....infact matajiri wengi ndio mana hupenda kusoma vitabu vinapanua ubongo mnoo
 
Back
Top Bottom