Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 10,890
- 18,836
Kitabu East of the Sun kinazungumzia jinsi warusi walivyolichukua eneo la Siberia. Migogoro yao na wenyeji, Wachina, Wajapan na madhara ya kufika kwao kwa wenyeji.
Kinaelezea jinsi explorers walivyofanya safari zao kuelekea Siberia, Bahari ya Arctic na mashariki ya mbali. Jinsi walivyofika Alaska na kwa nini waliiuza kwa Marekani.
Ujenzi wa reli kukatisha Siberia na jinsi Siberia ilivyotumika kama kambi za kazi ngumu.
Kitabu kizuri sana kama ungependa kupata mawili matatu kuhusu Siberia.