Kitabu cha Zawadi ya Ushindi na vingine vingi vinapatikana

nameless girl

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
4,195
2,664
Habari zenu wanajukwaa...
kwa mara nyingine tena, ninapenda kuchukua fursa hii kutangaza kitabu cha ZAWADI YA USHINDI cha BEN MTOBWA kwa wale wote wanaohitaji. Bei ni shilingi 7000.
Mpaka sasa kuna aina tisa ya vitabu vya Ben Mtobwa;
1/ Malaika wa shetani 10,000
1/ Salamu toka kuzimu 10,000
3/ Tutarudi na roho zetu 10,000
4/ Mikataba ya kishetani 10,000
5/ Mikononi mwa nunda 10,000
6/ Najisikia kuua tena 10,000
7/ Mtambo wa mauti 10,000
8/ Roho ya paka 10,000
9/ Zawadi ya ushindi 7,000
Kwa anayehitaji, anaweza akavipata vitabu hivyo posta mpya karibu na sanamu mbele ya hd pharmacy ama Kinondoni kituo cha kanisani.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0712504985 au 0763044459. Karibuni.
 

Attachments

  • zawadi[1].jpg
    zawadi[1].jpg
    209.6 KB · Views: 345
  • tutarudi[1].jpg
    tutarudi[1].jpg
    151.6 KB · Views: 194
  • malaika[1].jpg
    malaika[1].jpg
    152.2 KB · Views: 245
  • mkataba[1].jpg
    mkataba[1].jpg
    193 KB · Views: 173
  • mtambo[1].jpg
    mtambo[1].jpg
    159.6 KB · Views: 168
  • paka[1].jpg
    paka[1].jpg
    144.2 KB · Views: 144
  • najisikia[1].jpg
    najisikia[1].jpg
    126.1 KB · Views: 193
  • nunda[1].jpg
    nunda[1].jpg
    149.4 KB · Views: 172
  • salamu[1].jpg
    salamu[1].jpg
    190.5 KB · Views: 196
Kuna vitabu vingine kama ALIYEONJA PEPO na MISUKOSUKO ILIYOMPATA NASILELE. Nimesahau vilitungwa na nani lkn navitafuta sana kwa ajili ya watoto wangu. Kama unaweza kuvipata naomba niwe mteja wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom