Kitabu cha ujasiriamali: Msambazaji vitabu anahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitabu cha ujasiriamali: Msambazaji vitabu anahitajika

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by MarkD, Oct 8, 2012.

 1. M

  MarkD Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Mimi ni mwandishi wa makala ya kauli ya mjasiriamali katika gazeti la Mwananchi linalotoka kila siku ya Alhamis na pia ni mwajiriwa katika benki mojawapo hapa nchini. Nimeandika kitabu juu ya ujasiriamali na kinatoka wiki hii. Kutokana na muda wangu kuwa mdogo nahitaji mtu mwenye uwezo mzuri na muda wa kutosha kusimamia suala zima la usambazaji na uuzaji kitabu hicho. Tafadhali tuwasiliane mapema iwezekanavyo 0712 066 064 au 0753 12 54 74 Mr. Staphord Kwanama
   
Loading...