Atlantis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 383
- 514
Habari wana-JF!
Natumai mko vema. Ninataka kufanya utfiti fulani kuhusu masuala ya manunuzi y umma (Public Procurement) nchini, sasa nilikua nahitaji kitabu kizuri kinachoelezea namna ya kufanya research na data analysis kwa ujumla. Nilikuwa nakifahamu kitabu kimoj hivi kimeandikwa na mhindi lakini nimesahau title yake na jina la muandishi vilevile.
Hivyo basi, naomben msaada wana-JF yeyote anayefahamu kitabu hicho cha research anifahamishe tafadhali!