apostleonesmodeus New Member Joined Mar 15, 2025 Posts 2 Reaction score 1 Mar 22, 2025 #1 Je kitabu Cha nabii Amosi kimejikita hasa kwenye Nini na uhusiano wake na maisha ya jamii na kanisa la leo. Tunaweza tukashare idea kwa yeyote anayejua na kufahamu.
Je kitabu Cha nabii Amosi kimejikita hasa kwenye Nini na uhusiano wake na maisha ya jamii na kanisa la leo. Tunaweza tukashare idea kwa yeyote anayejua na kufahamu.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 46,043 Reaction score 126,626 Mar 22, 2025 #2 Kimejikita kwa wana waisraeli na hukumu zao ,kwa kanisa la leo linakuhimiza uwaone wana wa Israel ni watu maalumu.
Kimejikita kwa wana waisraeli na hukumu zao ,kwa kanisa la leo linakuhimiza uwaone wana wa Israel ni watu maalumu.
apostleonesmodeus New Member Joined Mar 15, 2025 Posts 2 Reaction score 1 Mar 22, 2025 Thread starter #3 Asanteee mtumishi wa mungu