Kitabu cha kuwajua wanawake.

Kitabu cha kuwajua wanawake.

Adam akamjua mkewe, wakapata mwana wa kiume wakamwita Kaini....
 
You will nvr understand a woman in your life.muulize adam wa eden au issaka na rebeka,you will nvr,
 
Hahaha mie simooo....

Habari ya wewe shemkwe wa mimi...
Lol na baada ya hapo wakijiona wapo uchi..upo hapo!

Niko fresh kabisa..salimia huko shemkwe wangu
 
inaudhi aisee.......,pozi lote linaisha...........

kaka angu we mzima lakin

M gud mamy mishangao tu ya purukishani mjengoni!!!!
How is you!!!!

Ningesema nami sielewi tungechekwa kifamilia ikabidi nikwambie sasa hii thread upande wangu umeme umekatika!!!!
 
M gud mamy mishangao tu ya purukishani mjengoni!!!!
How is you!!!!

Ningesema nami sielewi tungechekwa kifamilia ikabidi nikwambie sasa hii thread upande wangu umeme umekatika!!!!

Nilishakusoma mbona....,lugha za wanafamilia hizi tunasomana wenyewe kwa wenyewe

na huu umeme sijui utarudi saa ngapi tangu jana tumelala giza totoro!!!!!!!!!!!!
 
Hapo ndo hukupendaga mie wewe!!!!

Hebu chekipo namba ya imejensi

si ile ile ya siku zote!!!!!!!!

nimewapigia eti wako njian kuna nguzo imeanguka pale karibu na kwa kina mama Chale

wanakuja kurekebisha lakin,la sivyo twende mtaa wa 7 huku turudi baadae
 
Back
Top Bottom