Kitabu cha anguko la CCM kiko njiani

Kitabu cha anguko la CCM kiko njiani

Mdude_Nyagali

Member
Joined
Dec 11, 2022
Posts
84
Reaction score
1,494
Binafsi naamini mwaka huu kuna anguko kubwa la CCM. Ndio maana tangu January mwaka huu nilianza uandishi wa kitabu kinachosimulia anguko la CCM. Ndani ya kitabu hicho nasimulia siasa za Tanzania tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995.

Ndani ya kitabu hiki kuna simulizi ya mabaya na mazuri ya tawala zote kuanzia Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa niko naandika ya Samia. Kitabu hiki kitakuwa release baada ya anguko la CCM.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

IMG_20250424_164854_200.jpg
IMG_20250424_153929_450.jpg
 
Attachments

  • IMG_20250424_153539_276.jpg
    IMG_20250424_153539_276.jpg
    1.7 MB · Views: 23
  • IMG_20250424_163521_392.jpg
    IMG_20250424_163521_392.jpg
    1.6 MB · Views: 24
Anguko la CCM ni mmojawapo ya nadharia za kujifariji kutoka kutoka kwa wanazuoni wa ufipa
 
Binafsi naamini mwaka huu kuna anguko kubwa la CCM. Ndio maana tangu January mwaka huu nilianza uandishi wa kitabu kinachosimulia anguko la CCM. Ndani ya kitabu hicho nasimulia siasa za Tanzania tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995.

Ndani ya kitabu hiki kuna simulizi ya mabaya na mazuri ya tawala zote kuanzia Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa niko naandika ya Samia. Kitabu hiki kitakuwa release baada ya anguko la CCM.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
Utaanguku wewe kima na CCM itaendelea kusimama kidedea.
 
CCM itatoka mpaka pale itakapoamua yenyewe kwa sababu inafanya kila kitu na isipofanya ndio itakuwa imeamua
..ccm hata robo ya ubabe wa saddam Hussein hamjafikia, yuko wapi saddam Hussein..toa hiyo miwani ya mbao umevaa, wewe unamuona chadema na Lissu ndio maana umevimbiwa unajamba na kutapika hadharani..endelea hivyo hivyo!
 
-Kitabu cha Juma na Roza hicho
-Kitabu cha kipuuzi kabisa
-Vita vya betina
FB_IMG_17455828916071598.jpg
 
Darasa la saba failure anatunga kitabu, kichekesho
 
Mbona hii ID inaonekana ni mpya na hadhi yake ni verified?
 
Back
Top Bottom