chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 20,725 Reaction score 31,306 Apr 26, 2025 #21 Baada ya Mdude kutoka Kisutu ya JF na ya mitandaoni.
N Nikilewa mniache JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 19,301 Reaction score 51,949 May 22, 2025 #22 Inasikitisha sana 🙁
N Nikilewa mniache JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 19,301 Reaction score 51,949 May 22, 2025 #24 chiembe said: Baada ya Mdude kutoka Kisutu ya JF na ya mitandaoni. View attachment 3316633 Click to expand... Naona unavyofurahia poti
chiembe said: Baada ya Mdude kutoka Kisutu ya JF na ya mitandaoni. View attachment 3316633 Click to expand... Naona unavyofurahia poti
G.T.L JF-Expert Member Joined Jul 15, 2012 Posts 1,737 Reaction score 3,961 May 22, 2025 #25 Mkuu wamekuangusha mapema sana, inaumiza mioyo yetu sana 😓
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 31,650 Reaction score 81,555 May 22, 2025 #26 Pole Sana Kijana , umejitoa Ila hao akina Mbowe waliwadanganya Sana . Ni zaidi ya miaka 30 tulikuwa hatuna upinzani wa kweli.
Pole Sana Kijana , umejitoa Ila hao akina Mbowe waliwadanganya Sana . Ni zaidi ya miaka 30 tulikuwa hatuna upinzani wa kweli.
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 20,725 Reaction score 31,306 May 22, 2025 #27 Shing Yui said: Naona unavyofurahia poti Click to expand... Tata
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,658 Reaction score 3,749 Sep 21, 2025 #28 Kitabu bora
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,658 Reaction score 3,749 Sep 21, 2025 #29 Twoten said: Naichukia ccm kama kinyesi Click to expand... Kila mTanzania yuko kama wewe.
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,658 Reaction score 3,749 Sep 21, 2025 #30 Tukipate mtaani
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,658 Reaction score 3,749 Sep 21, 2025 #31 Nimewasiliana na viongozi tujue upatikanaje utakuwaje
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,658 Reaction score 3,749 Sep 22, 2025 #32 Mlidhani watu tunaleta tu story za vijiweni mtaelewa sasa
BLACKTIGER JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 4,344 Reaction score 6,862 Sep 22, 2025 #33 Maandishi yako bado yanaishi bro Mbeya stand up!
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,658 Reaction score 3,749 Sep 22, 2025 #34 Walijua unatania???