Kitaaluma mimi ni mwanasheria

Mi napenda tu yale maigizo ya zamani kidogo ya kina jengua, muhogo mchungu, swebe, nyamayao na wengineo lakini siyo haya mataputapu ya leo wanajifanya kuiga uzungu lakini wanaishia kuharibu maadili yetu na kuchafua lugha za wakoloni bure kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…