Kitaalam inaitwaje?

Kitaalamu hii inaitwa PITA MLE MLE. Maagizo kutoka juu ni kwamba ajenda sasa ni moja, ^ISHINI ISHINA TANO!^ 🙂 🙂 🙂
 
Alafu watu hawajajua siasa za bongo zina usaliti sana wakuu wamemuona na wanajiuliza huyu katokea wapi? Nn anafanya na anatafuta nini hapo watu baada ya kujua uchawa unalipa now kila mtu ni chawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…