KISWELE COACH (Dar-Songea)!

Aisee Mimi naonaga Bora nipite ya Iringa tu, Kwanza vimiji miji vingi vya kushangaa shangaa. Sio huku kusini sehemu kubwa pori๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Masasi -Namtumbo kuna advanture nzuri sana yale mawa kona na misitu ila kuinjoi ni Kupitia Iringa. Njombe-Songea napenda zile down chuma inapushuka na zile kona๐Ÿ™Œ
 
Aisee Mimi naonaga Bora nipite ya Iringa tu, Kwanza vimiji miji vingi vya kushangaa shangaa. Sio huku kusini sehemu kubwa

Aisee Mimi naonaga Bora nipite ya Iringa tu, Kwanza vimiji miji vingi vya kushangaa shangaa. Sio huku kusini sehemu kubwa pori๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Pia joto kali balaa njia ya lindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ