KISWELE COACH (Dar-Songea)!

Enzi hizo tunasoma Songea Boyz tunakwea KISWELE COACH Stendi mnazi mmoja breki ya kwanza Comfort Hotel - Kitonga (Kula dakika 10 Tu) chuma inatambaa. Daah. Hakika miaka imeenda.

**Zamani raha sana
Ukishuka humo kwenye Kiswele..unatembea kwa miguu km 5..hakuna Boda..ukibahatika unaingia kwenye hii Mess Tin(Mustin)
 
Duuh! Hatarii Sana. Mlifikaje sasa safari yenu baada ya basi kuungua
Tulikuwa na mke wa kiswelle kwenye basi, baada ya kadhia ile akatuma mtu aende Iringa mjini akakodi Basi sikumbuki ulikuwa Basi gani, tukaendelea na safari.
...Mimi Hadi viatu viliungulia kwenye basi...na nilikuwa nimekabidhiwa tu kwa konda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…