Kiswahili Vs Arabic

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
552
Reaction score
1,117

Kiarabu vs Kiswahili
Izo nchi zenye watu majority wanaongea Kiarabu;
Egypt=110M
Libya= 7M
Tunisia=12M
Algeria=45M
Morocco=40M
Sudan=50M
Jumla=264M

Kiswahili; nchi wanaongea wengi Kiswahili kwa ujumla
Tanzania=68M
Kenya=55M
Uganda= 50M( ila kama asilimia 30%)
Rwanda=13M( kama asilimia 10%)
Burundi= 12M( kama asilimia 10%)
DRC=112M( kama asilimia 40% mashariki ya Kongo)
Na asilimia chache Msumbuji, Zambia, Malawi, Somalia na visiwa vya Comorros
Jumla= 188M
 
Waganda Hakuna Kiswahili wanachojua watoe tu kwa list,Bora hata wakongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ