Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,912
- 13,230
Habari jf,
Hivi naomba kuuliza, hili suala la kuenzi kiswahili ni la mtu mmoja au la kitaifa? Na kama ni la kitaifa mbona mawaziri hasa huyu wa mambo ya nje ambaye nimemsikiliza sana kwenye hotuba zake wakati wa ugeni wa nje anatoa speech zake kwa kingereza? Na kama anakiuka/wanakiuka hii amri ya kukienzi kiswahili kwanini wasitumbuliwe?
Msaada tafadhari