VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,481
- 1,450
Watanzania wenye shahada za ualimu, mnaferi wapi kuomba kazi za kufundisha kiswahili?
Rwanda kwa sasa inatambua lugha ya Kiswahili kama moja ya lugha zinazokubalika nchini. kwa bahati mbaya, kiswahili cha Rwanda, kwa asilimia 90, ni cha kuunga maneno ya kinyarwanda, kifaransa, mengine lingala. mtu anabuni lugha tu. na kiswahili cha Tanzania, ndo fasaha kwa matumizi. Wengi waliojifunza,ukubwani, ni nadra sana kuwa na uwezo wa kufundisha kama walimu.
Mawaziri na mabalozi waingilie kurahisisha fursa hizo. Wanyarwanda wengi sana wanapenda kiswahili, ila tu hawakijui. Hata kama ni tuition ya kiswahili, uwezekano wa kupiga hela upo, ni uhakika.