Kiswahili lugha yetu lakini wewe acha tu

Kiswahili lugha yetu lakini wewe acha tu

kbl hujarudi njo kwanza tumpande amina kumtumbo mambo yawe swafi..😀
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
mamaeee c tusi jamani au
Si tusi bila kutaja kile kiungo mwanzoni[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Kiswahili ni kibantu na neno moja la kibantu inakuwa na maana zaidi ya moja kulingana na matamshi

Mfano nyungu, mtungi, chungu so ukiziweka ktk sentesi

Mtoto kapasua nyungu yangu

Mtoto kapasua chungu changu

Mtoto kapasua mtungi wangu

[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]ndo ujue kiswahili hakijabarehe ndo bado kinakua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom