aya na haya yote ni maneno sahihi
Aya ikimaanisha sentensi zaidi ya moja zikiungana kuelezea jambo moja mfano aya za kwenye insha
Haya ikidokeza ujumla wa orodha ya vitu mfano....haya ni mazao ya chakula ..........ila hoja ya kuwa waswahili tunaharibu kiswahili ushahidi wake upo uchi kabisa