Kiswahili kinapanuka na kupasuka wakati huo huo?

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
5,268
3,516
akionekana waziwazi na waumini jinsi anavyomtazama kwa jicho la matamanio mmoja wa waumini wa kike aliyeketi kiti cha mbele!
Hata yeye anaweza jaribiwa na Shetani! wkt mwingine shetani aweza tumia sura yake ili wengi wapotee! km wewe! na je km alitubu?

wewe unaiga tu, blinded kwani hiyo Biblia yenu ina sema wao hawata jaribiwa? usipende kuambiwa saaana! think first
 

Chief Editor

JF-Expert Member
Feb 18, 2019
779
2,243
aya na haya yote ni maneno sahihi
Aya ikimaanisha sentensi zaidi ya moja zikiungana kuelezea jambo moja mfano aya za kwenye insha
Haya ikidokeza ujumla wa orodha ya vitu mfano....haya ni mazao ya chakula ..........ila hoja ya kuwa waswahili tunaharibu kiswahili ushahidi wake upo uchi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Top Bottom