Kiswahili fasaha

Maundumula

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
7,553
3,070
Habari zenu waungwana,

Naomba kuuliza je kipi kati ya sentensi zifuatazo ni fasaha

1)Safari ya mjomba imeahirishwa
2)Safari ya mjomba imeghairishwa
3)Safari ya mjomba imehairishwa
 
namba 1 na 2 ni fasaha

Kwa pwani sawa.

Mwalimu wangu wa kiswahili toka bara alifudisha:

kuahirishwa ina maana kitendo kitatekelezwa muda mwingine ujao.
kughairi ina maana kubadili mawazo na kitendo kinaweza kisitelelezwe.

kwa kimombo kuahirisha ni definitive ilhali kughairisha sipo.
 
mmmm

Kwahiyo ukighairi = umabadilisha mawazo

Ukiahirisha = utafanya baadae?
 
Safari ya mjomba imeahirishwa ndio fasaha kabisa wala hakuna ubishi na anayetaka kubisha aandamane
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom