Wataalamu wetu wanatwambia lugha kubwa Tanzania so far ni kisukuma ikifuatiwa na kiswahili.... mpo?
Hata ukikopa kumi moja haiwezekani.
Hata ukikopa kumi moja haiwezekani.
Wataalamu wetu wanatwambia lugha kubwa Tanzania so far ni kisukuma ikifuatiwa na kiswahili.... mpo?
Ndugu Pmwasyoke nimesoma kwenye moja ya 'post' yako kuwa wewe ni Msafa, binafsi siifahamu lugha ya Kisafa, sote tunajua kuwa neno 'lugha' asili yake ni Kiarabu na siyo la Kibantu, hivi katika Kisafa neno 'lugha' mnaliitaje
Lakini hebu fikiria kidogo, Tanzania kuna zaidi ya makabila 120 na zaidi ya 80% ya watanzania wote wanaishi vijijini hivyo kiswahili ni lugha ya pili ya watanzania wengi, population ya wasukuma ndio kubwa tanzania hivyo kwa uwingi wao na kisukuma kama lugha yao ya kwanza huoni kama hiyo inaifanya kuwa ndio lugha kubwa inayoongewa tz? maana hata watanzania walio mijini(20%) wengi hawakijui kiswahili kwa ufasaha zaidi ya lugha za kabila zao.... au unaonaje mkuu?
Kwa nini huwezi?Asante kwa kunifahamisha, nakushukuru pia kwa kunipatia fasri ya neno 'lugha' , ingawaje umesema kuwa unawasiliana vizuri zaidi kwa kwa Kiswahili kuliko Kisafwa, naomba kuuliza kama neno 'Injango' lina maana nyingine zaidi na kunisaidia katika kutatua swali langu( kuhusu kauri ya Bibi Titi). Nimefurahi sana kusikia 'injango' maana (nifahamuvyo mimi) kwetu sisi(neno lugha) halina fasri moja , mimi siwezi kusema kuwa ni fundi wa lugha ya kabila langu!