Kisutu: Robert Kisena afutiwa Mashtaka ya utakatishaji fedha na Mahakama. Yeye na Mkewe wakamatwa tena, wafunguliwa mashtaka mapya

We jamaa Hivi unaishi Tz hii hii au?

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu mdogo wa Mfanyabiashara maarufu, Rostam Aziz, Akram Aziz kulipa faini ya Milioni 259.5 au kifungo cha miaka 20 jela baada ya kukiri mashtaka 73 ya kukutwa na nyara za Serikali ikiwemo kukutwa na nyama ya Nyati na silaha.

Hata hivyo, Akram amefanikiwa kulipa faini na kuepuka kifungo hicho cha miaka 20 jela.

Pia mahakama imetaifisha nyara hizo na kuwa mali ya serikali na kuamuru silaha zote ziwe chini ya polisi hadi hapo mshitakiwa atakapokamilisha taratibu za kisheria za kumiliki silaha hizo.

Kwa mara ya kwanza, Akram alifikishwa mahakamani hapo Oktoba 31, mwaka huu akikabiliwa na mashitaka 75 katika kesi namba 82/2018 ikiwemo kukutwa na nyara za serikali, silaha, risasi na utakatishaji fedha wa dola za Marekani 9,018 lakini kwa mujibu wa sheria alifutiwa mashitaka hayo na kusomewa upya mashitaka 73 ukitoa ya utakatishaji fedha na Meno ya Tembo.

Akitoa hukumu hiyo, Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri alisema kuwa katika mashitaka ya kukutwa na nyama ya nyati, mshitakiwa atatakiwa kulipa faini ya Sh 43,529,000 na katika makosa 72, yaliyobaki kila moja atatakiwa kulipa Sh. Milioni tatu

Huo ushahid unao?
 
Ndivyo ilivyo,kesi inaweza maliza miaka 5,ukiwa lupango,(haina dhamana),huku ali zimezuiliwa na baadhi ulizowaachia jamaa zako zinafujwa na kubadilishwa umiliki,siku ukitoka lazima ujinyonge,

pesa inatafutwa,usalama wa mtu kwanza,ukizingatia pesa zenyewe wamezipata kwa magumashi
Hivi malinzi bado yupo lupango?
 
acheni ukabila, Askofu Shoo atawataka muombe msamaha. Hivi Jonathan Lema wa Arusha ni Msukumaa?

Huyu mtu anahusiano wa Kibiashara na waziri moja wa ccm ndio maana anapewa tenda zote za serekali hata chuo kikuu dodoma alijenga yeye na minara yote ya voda ni yeye anaweka mafuta ambayo parcent flani kwenye voda ni Lowasa, huyu Mkurugenzi kumbukeni anamiliki pia kampuni ya ujenzi ya Elerai Costraction. Ndugu yake ndio lema wa Njake Petrol Station aliyekutwaga na kashfa ya pesa za Epa na kesi kumalizwa kinyemela ukiunga dots utagundua ccm ipo nyuma ya pazia niufisadi mwingine..huo tutaendelea kuanika ufisadi wa ccm hadharani.

ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kuhusu ...
www.nao.go.tz/?wpfb_dl=87

Mar 28, 2013 - Kwa mujibu wa Ibara ya 143 (4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa. Tanzania ...... miliki ya ardhi na majengo yanayomilikiwa na ...... Ujenzi ulikuwa ukitekelezwa na kampuni iitwayo Elerai Construction Co. Ltd. 54 Fungu ...

Fungu 75: Sekretarieti ya Mkoa wa Kilimanjaro Malipo ya nyongeza ya mkataba hayakuidhinishwa na zabuni ya Sekretarieti ya mkoa Sh. 107,171,592 Malipo ya nyongeza ya mkataba ya Sh. 107,171,592 wa ujenzi waWodi ya akina mama wajawazito hayakuidhinishwa na zabuni ya Sekretarieti ya Mkoa wa Kilimanjaro. Ujenzi ulikuwa ukitekelezwa na kampuni iitwayo Elerai Construction Co. Ltd.
 
Ni kweli aliachiwa ila amekamatwa tena na karejeshwa rumande, baada ya kusomewa mashtaka mbele ya hakimu Rwezile.
 
Je ile judgement ya judge Utamwa yakuagiza Ruge alipwe hisa zake 30% kutoka IPTL na alipe kodi 38b ,Was the jury Verdict made null and void?
 
Kisena wa Udart, wenzake wafutiwa mashtaka

Wednesday May 15 2019

pic+kisena.jpg

Kwa ufupi
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia mashtaka Mkuugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (Udart), Robert Kisena na wenzake watatu.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu leo Jumatano Mei 15, 2019 imewafutia mashtaka Mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (Udart), Robert Kisena na wenzake watatu .

Kisena na wenzake walikuwa wakikabiliwa na mashtaka 19 likiwemo la utakatishaji wa fedha na kuusababishia mradi wa Udart hasara ya zaidi ya Sh2.41 bilioni.

Washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni Kulwa Kisena, Charles Newe na raia wa China, Cheni Shi.

Washtakiwa hao wamefutiwa kesi hiyo chini ya kifungu91(1) cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai(CPA) sura ya 20 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2002.

Wakili wa Serikali, Grory Mwenda amedai mahakama hapo kuwa shauri hilo lilikuja kwa ajili ya kutajwa lakini Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) hana nia ya kuendelea nalo dhidi ya washtakiwa hao .

Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba amesema shauri hilo lilikuja chini ya kifungu namba(91) cha CPA sura ya 20 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2002.
Hawakukamatwa tena na polisi baada ya kuachiwa?
 
Jamaa alitamba awamu ya nne kujidai mwekezaji kumbe dalali wa vigogo fisadi. Sada wamemwacha bila shaka ataishia lupango.
 
Kisena na mkewe wakamatwa, washtakiwa kwa uhujumu uchumi
Mke ,Kisena , afutiwa ,mashtaka,Robert, Kisena,Udart,Mahakama, Hakimu ,Mkazi, Kisitu

BY Pamela Chilongola, Mwananchi pchilongola@mwananchi.co.tz
IN SUMMARY

Mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (Udart), Robert Kisena na mkewe, Frorencia Mshauri Membe pamoja na wenzao watatu wameunganishwa katika kesi ya uhujumu uchumi wakikabiliwa na mashtaka 19 likiwamo la kuisababisha hasara ya Sh2.4bilioni kampuni ya Udart

Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (Udart), Robert Kisena na mkewe, Frorencia Mshauri Membe pamoja na wenzao watatu wameunganishwa katika kesi ya uhujumu uchumi wakikabiliwa na mashtaka 19 likiwamo la kuisababisha hasara ya Sh2.4bilioni kampuni ya Udart.
Washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni Kulwa Kisena (33), Charles Newe (47) na Chen Shi (32).
Watano hao wameunganishwa pamoja katika kesi hiyo leo Jumatano Mei 15, 2019 mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Augustine Rwizile na wakili wa Serikali, Grolia Mwenda.
Hatua hiyo imekuja ikiwa ni muda mfupi baada ya washtakiwa hao waliokuwa wakikabiliwa na kesi mbili tofauti kufutiwa mashtaka yaliyokuwa yakiwakabili mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba na Rwizile.
Uamuzi wa kuwafutia mashata ya awali ulitokana na upande wa mashtaka kuomba chini ya kifungu cha 91 (1) cha mwenendo wa Makosa ya jinai (CPA) sura 20 iliyofanyiwa marejeo 2002 kwa maelezo kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) hana nia ya kuendelea a kesi hizo, mahakama kuridhia.
Hata hivyo, waliendelea kushikiliwa na baadaye kusomewa kesi mpya ya uhujumu uchumi wakikabiliwa na mashtaka 19 ikiwa ni pamoja na kuongoza genge la uhalifu, kujenga kituo cha mafuta bila kibali cha Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), kuuza mafuta kwenye makazi yasiyoruhusiwa eneo la maegesho ya magari.
Mengine ni utakatishaji fedha, mashtaka manne ya kutoa nyaraka za uongo, mashtaka manne ya kughushi, mawili kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kusababisha hasara.
Mwenda amewasomea mashata hayo akidai walitenda makosa hayo kati ya Oktoba 2012 mpaka Mei 31, 2018.
Baada ya kusomewa mashitaka hayo, washitakiwa hawakutakiwa kujibu lolote kwa kuwa mahakama hiyo haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo na kuahirishwa hadi Mei 28, 2019.
 
Kisena wa Udart, wenzake wafutiwa mashtaka

Wednesday May 15 2019

pic+kisena.jpg

Kwa ufupi
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia mashtaka Mkuugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (Udart), Robert Kisena na wenzake watatu.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu leo Jumatano Mei 15, 2019 imewafutia mashtaka Mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (Udart), Robert Kisena na wenzake watatu .

Kisena na wenzake walikuwa wakikabiliwa na mashtaka 19 likiwemo la utakatishaji wa fedha na kuusababishia mradi wa Udart hasara ya zaidi ya Sh2.41 bilioni.

Washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni Kulwa Kisena, Charles Newe na raia wa China, Cheni Shi.

Washtakiwa hao wamefutiwa kesi hiyo chini ya kifungu91(1) cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai(CPA) sura ya 20 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2002.

Wakili wa Serikali, Grory Mwenda amedai mahakama hapo kuwa shauri hilo lilikuja kwa ajili ya kutajwa lakini Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) hana nia ya kuendelea nalo dhidi ya washtakiwa hao .

Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba amesema shauri hilo lilikuja chini ya kifungu namba(91) cha CPA sura ya 20 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2002.
Hivi ndugu zangu mnaleta habari za uchochezi kwa faida ya nani? Najua mmeitoa Mwananchi ambayo ni ya wakenya (hao sina shida nao maana ni washindani wetu)! Ni kuwa walifutiwa ila wakakamatwa tena kwa kuongezewa mashitaka
 
Back
Top Bottom