KISUTU: Mwandishi Kabendera asema kufanyiwa vipimo na kukutwa na matatizo ya mgongo. Kesi yaahirishwa mpaka Oktoba 01

Hapana, jela sio jehanamu. Ila wamemfanyia touchering kubwa sana. Wangapi wameenda jela? Mbona mzee Ruge mpaka leo yupo jela, na hatembei kama Kabendera?
ila kwann haiambii mahakama kuwa walimtesa polisi, sijasikia akisema ilo mahakamani, ila nikweli aliteswa sn inaonyesha
 
NEVER FEAR THEY'LL FIGHT BUT THEY'LL NEVER WIN.GOD HAS THE PLAN WITH US TO GIVE US THE REAL FREEDOM OUT OF THE VIRTUAL FREEDOM.
 
Uarifu gani mkuu? Au ni nani kamuhukumu?
Alikua anajua kabisa kupokea miamala kwa siri ni jinai,akibainika atapata tabu sana,na hicho ndicho kinamkuta,ha.na wa kumlaumu
Walikua wakimtumia akina.zitto wamemuacha wapo bize na.Tundu
Nakumbuka siku za kwanza.kwanza zitto alikua hakosi mahakamani
Huyo atatoka na ulemavu tu huko
 
Mambo mengine watu wanajisahau sana wakila kuku mtaani basi ni dharau na mitusi kwa wengine. Ona sasa hali hii mpk achomoke huko atakua kakoma.

Kama unaamua kuishambulia dola (state) siku zote hakikisha kuwa you are clean kwa kila kitu...ni lazima uwe msafi ..kwa mfano hakikisha unalipa kodi, mapato yako yawe ya ndani au ya nje ni halali...kamwe usiishambulie dola kama wewe ni mchafu kwani dola ina mkono mrefu...hii ndiyo general rule...usiwategemee mabeberu au vyombo vvya habari kupiga kelele kwa ajili yako kama wewe siyo msafi...
 
Mbona siku hizi zile articles za "The economist" hatuzioni tena...

Kumbe kuna ukweli flani juu ya tuhuma kuwa alikuwa yeye ndio mwandishi...
ila kwann haiambii mahakama kuwa walimtesa polisi, sijasikia akisema ilo mahakamani, ila nikweli aliteswa sn inaonyesha
 
Back
Top Bottom