KISUTU: Mwandishi Kabendera asema kufanyiwa vipimo na kukutwa na matatizo ya mgongo. Kesi yaahirishwa mpaka Oktoba 01

Arse-hole.

Moderators wa JF wana matatizo sana kwa kweli...wewe na wenzako wa aina yako mlipaswa msiwe humu JF...Hili ni jukwaa kwa ajili ya watu makini na wastaarabu na wanaojadili hoja kistaarabu na siyo kwa matusi ..
 
Kabendera alitakiwa kuyajua haya wakati anafanya uhalifu wake
Bado hajakutwa na hatia, he is still a suspect. Ni sawa na wengi wetu tunavyoamini Jiwe na Zero wanahusika na shambulio la Lissu ila hatuna uwezo wa kuwakamata.
Innocent until proven guilty, labda kama hauna hata basics ya vitu vidogo kama hivyo.
 
Kama unaamua kuishambulia dola (state) siku zote hakikisha kuwa you are clean kwa kila kitu...ni lazima uwe msafi ..kwa mfano hakikisha unalipa kodi, mapato yako yawe ya ndani au ya nje ni halali...kamwe usiishambulie dola kama wewe ni mchafu kwani dola ina mkono mrefu...hii ndiyo general rule...usiwategemee mabeberu au vyombo vvya habari kupiga kelele kwa ajili yako kama wewe siyo msafi...
Matunda ya elimu bure yanaonekana.
 
‘...Ukiisaliti Rwanda hutakuwa salama na ninakujulisha hupaswi kuwa Salama . ... kwangu binafsi na kwa Wananchi wenzangu wa Rwanda .. dhambi ya kuisaliti Rwanda ni kubwa kuliko ya kuhujumu Msaliti wa Nchi.....’

Paul Kagame
Jiwe mbona kstusaliti kwa kutuibia rambirambi
 
Tz haitakiwi kuiga chochote kutoka kwa Kagame au Rwanda . Mmejaribu Ku copy na duniani pote inajulikana tunaongozwa ki dictator . Zamani tukizikemea mataifa yanayonyanyasa raia wake. Leo tunanyoshewa mikono .
Utawala huu tumeletewa na wapinzani
 
Bado hajakutwa na hatia, he is still a suspect. Ni sawa na wengi wetu tunavyoamini Jiwe na Zero wanahusika na shambulio la Lissu ila hatuna uwezo wa kuwakamata.
Innocent until proven guilty, labda kama hauna hata basics ya vitu vidogo kama hivyo.
Mwenzenu anateketea mnatoa majibu mepesi,until proven guilty wakati mguu unaoza!
 
Mwenzenu anateketea mnatoa majibu mepesi,until proven guilty wakati mguu unaoza!
Ni mwenzangu kwa kuwa ni Mtanzania mwenzangu kwahivyo nawe ni mwanzako pia unless kama wewe ni ile timu iliyohusika kumbambika makesi au ulushiriki katika kumdhuru mpaka amekuwa katika hali ile, hapa tunaongelea utu na inajulikana kuwa amakuwa tu framed kwa amri kutoka 'juu' ili kumkomoa kwa sababu ya kuwa anaripoti bila ya uoga wala unafiki mambo yanayoihusu nchi yetu.
 
Serikali inataka afe tu ndowatafurahi.
Kamamtu anaumwa si aruhusiwe akapatiwe matibabu stahiki, then akipona aendelee na mashtaka?
Na hili halipaswi Ku generalize kuwa ni serikali, who is serikali? Hapa kwenye mambo mabaya tuwe tunamtafuta mtu personally aliye jihusisha na mateso au kifo cha mtu badala ya kusema serikali.
Mbona The Hague huwa haipelekwi serikali bali muhusika in personal?
 
Alikua anajua kabisa kupokea miamala kwa siri ni jinai,akibainika atapata tabu sana,na hicho ndicho kinamkuta,ha.na wa kumlaumu
Walikua wakimtumia akina.zitto wamemuacha wapo bize na.Tundu
Nakumbuka siku za kwanza.kwanza zitto alikua hakosi mahakamani
Huyo atatoka na ulemavu tu huko
Mkuu ni aibu sana kushabikia mateso ya binadamu pasipo hukumu halali. Kwa watawala wa kiafrica na mashabiki wao kuhukumu bila misingi ya sheria ni furaha tele kwao pasipokujua kesho ni ya nani. Nakupongeza sana na kwa dhati.
 
Ila wakati anapokea miamala kwa siri kuivuruga nchi ni sawa?sawa not guilty until proven by the court!!
 
Back
Top Bottom