KISUTU: Mwandishi Kabendera asema kufanyiwa vipimo na kukutwa na matatizo ya mgongo. Kesi yaahirishwa mpaka Oktoba 01

Kabendera alitakiwa kuyajua haya wakati anafanya uhalifu wake
Mambo mengine watu wanajisahau sana wakila kuku mtaani basi ni dharau na mitusi kwa wengine. Ona sasa hali hii mpk achomoke huko atakua kakoma.
 
Wapo wanaofuraiwatu wa jamii fulani ndio wanaotakiwa kama kuwa vielelezo vya ufisadi,uhujumi uchumi,utakatishaji fedha sio raia nk hao waitaishia jela na upelelezi utaendelea mpaka wajute kutoka katika jamii ile maana tukifanya hivyo sisi kimataifa tunapaa kwa kukomesha ufisadi,rushwa nk .Tumuombe Mungu atupe upendo kwa watanzania wote tupendane tusibaguane.
 
Kabendera alitakiwa kuyajua haya wakati anafanya uhalifu wake

Hata yule mkulu aliyekuwa anatembea na gari kubwa tatu nyeusii na maving'ora alikuwa anafikiri hayo sio yake. Iko siku tuuuu iko sikuuu na weweeee utabarkiwa.
Ukiangalia hiyo picha kwenye tambarare anatembea kwa shida. Alipo pause kupumzika askari kamwamuru atembee reaction ya Kabendera suggests a lot on what is going through. Imagine wakati wa kupanda zile ngazi!!
 
Mmesahau mlipokuwa upande wake alipokuwa anakataa ushauri wa Jk kuzungumza na Wapinzani wake badala ya kuwagonga risasi?
Tz haitakiwi kuiga chochote kutoka kwa Kagame au Rwanda . Mmejaribu Ku copy na duniani pote inajulikana tunaongozwa ki dictator . Zamani tukizikemea mataifa yanayonyanyasa raia wake. Leo tunanyoshewa mikono .
 
Mmesahau mlipokuwa upande wake alipokuwa anakataa ushauri wa Jk kuzungumza na Wapinzani wake badala ya kuwagonga risasi?
Kwani Chadema nao walishawahi kufanya Genocide Tz mpk Ccm ishindwe kukaa nao chini?
 
Back
Top Bottom