Kisutu: Mil 58 zawapandisha kizimbani Maofisa wa TFDA

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Maofisa wanne wa TFDA wamepandishwa katika Mahakama ya Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kuisababishia hasara ya Shilingi 58 Milioni kwa kosa la kuidhinisha malipo mara mbili kwa wafanyakazi wa mamlaka hiyo
 
Back
Top Bottom