Kisutu, Dar: Soudy Brown, Shaffih Dauda, MC Luvanda na wengineo wafikishwa mahakamani, wapata dhamana

Youtube ina milikiwa na nani? chanel ya youtube ukiifungua au kuianzisha unaianzisha kwa server za serikali ya hapa au ya nje, je nikifungua chanel nikaandika location ni Malawi ila nikawa nairusha hapa nchini na ku upload hapa nchini bado naweza nikakamatwa?
 
mtambo wake kama youtube na wanao jiunga wajisajili na kupewa vibali na sio kudandia vya wengine waliovunda halafu kuomba vibali vya usajili na je youtube wakiamua kufunga kabisa isiwepo walipewa vibali vya usajili watarudishiwa hela yao ya vibali
 
ni sawa lkn hawajaweka pingamizi.. ila kwa mtu Taasisi kupiga pesa kwa kutumia akili za watu wengine hii si sahihi na ni wizi maana ilitakiwa kama serikali inataka kukusanya pesa iwataarifu YOUTUBE TWITER INSTA FB nk kuwa wanataka kukusanya mapato ili kuwe na makubaliano na si kienyeji hivi. hii ni sawa na BASHITE kuwalazimisha walimu watumie kupanda madaladala ya watu binafsi kupanda bure wakati mwenye gari anatumia gharama kubwa.
Samahani mkuu...

Naweza kujua utofauti kati ya YouTube Channel na YouTube Akaunti
 
Samahani mkuu...

Naweza kujua utofauti kati ya YouTube Channel na YouTube Akaunti
CHANNEL ni MAIN WEB ambapo unaweza ndani yake kukuta unaweza kufungua account yako.

ni kama vile SHIRIKA LA POSTA ni kampuni lkn unaweza kupata huduma ya kuwa na box rental kwa huduma yako personal haruhusiwi mtu yeyote kukuingilia humo atapoteza
 
sheria inasemaje kuhusu mtu aliyetafuta pesa zake mwenyewe na kuzijaza chumbani kisha akajifungia na kuanza kuzitimua?
Atakua ametenda kosa la jinai
sheria inasema pesa ni mali ya jamhuri ya muungano wa kitanzia,na mtu atakua ametenda kosa endapo atadhihaki ama kuiharibu kwa makusudi
 
Naomba kuuliza wanajamvi,Kwa sheria hiyo ilopitishwa na serikali yetu,Je,wao serikali wameingia mkataba wowote na wamiliki wa Youtube? Kama ni cyo,serikali hiaoni km na yenyewe inavuna isichokipanda? Ni vp km Youtube wakaamua kuzima hiyo huduma? Je,serikali itarudisha pesa kwa hao wamiliki walokwisha kulipia?
 
Back
Top Bottom