Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,103
- 107,639
sikatai hilo ila kwenye hoteli ya nyota tano Mwanza bado haina jengo la NSSF litakapokamilika then hali itabadilika!Mwanza soon watakuwa na sehemu itakayokuwa imenjengeka like the great Kariako