Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Mbona hadi huku form 4 wanaingia vyuo..... Halafu form two wenu huko wanasoma yanayofundishwa la sita huku area, perimeter, volume....Usisahau form4 wa kenya akija hko anaingia chuo kikuu
Class8 wa huku pia vile vile ataingia form2, sasa wewe mlete class 7 wa bongo kenya km hakurudishwa mpka la tatu au la nne...
Jiulize kw nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu form 4 wenu huko tulimpa pepa la necta engineering scienceform 4 chalii hahaha.... Form 4 wakenya hachomoi pure mathematics..... Hachomoi labda Basics atajitahidi...




wakati inaonekana yote