BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,049
- 2,542
Unaongea as if tuko 1970s era'sYears back nilishalizungumzia hili..
Tanzania weka nyumba kama hizo na hawatajisumbua kununua unless ziwe na bei ndogo sana au la watu wanunue ili wazipangishe kwa wengineo hasa wanaoanza maisha (this is mostly out of DAR). Kuna perception low sana juu ya kuishi katika gated communities Tz na ndio maana wengi huamua kujenga wenyewe. It feels great to live in a house that feels like a home to your every need with a REAL PRIVACY.
Gated communities zipo vizuri visually ila satisfaction ni ndogo. Bad enough in Tz , estate planning is somehow low and therefore you may find streets full of Good & standard houses without the proper planning which makes it alittle visually attractive but Trust me, these people enjoy their settlements to the maximum
Dunia inabadilika ndio ila ujue tu hata new york watu wanajenga mansion zao ila mpaka uwe na hela maana maeneo n ghali ko wale wanaonunua na kupanga apartments kule mostly wanauwezo ndio maana ukiingia mtandaoni mtoto akimzawadia nyumba mzazi wake wanaona n big thing kwa sababu ya maeneo ni ghali kumilikiwa kirahisi ila tz na kenya tz ardhi n bei chee na haimilikiwi na watu wachache na pia ni kubwa mnoo ivo watu kujenga n issue ndogo kuliko kununua apartments maana kuna arthi mpaka sqm 1 n 5000 au 4000 sawa na 200 ya ksh ila kenya arthi n ghali ivo njia nyepesi ya mtu nikununua apartments sema tu kinachoharimu fashion ya settlement ya tz n kutokupangiliwaUnaongea as if tuko 1970s era's
Wake up.
Dunia inabadilika.
Leta vitu updated and detailed Kama hizi...Hii kumbe haka ndo kamji wanakafananisha na mwanza?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakajifikia mwanza wala Arusha, wakashindanishe na moshi au iringa
Do you even understand the meaning of DIVERSITY.. we can't all think alike and live as westeners to feel civilised. We have our own way of living and as an intellectual (only if you really are) you should understand that culture is something that is nurtured to guide a society based on it's own NATURE and NEEDS.Unaongea as if tuko 1970s era's
Wake up.
Dunia inabadilika.
Da pole sana mwanza sijaona pakufikia kisumu hata robo angalia stend ya mkoa alafu urudi hapaAcha kujifanya Mtz kumbe kunya boy, Kisumu fananisha na moshi au moro, co mwanza wala arusha
Nyuma ya Dar kwa Tzn ni Arusha hiyo mwanza ni level ya Dodoma hamna kitu zaidi Lundo la watu hohehahe
ichoboy analilia tu huko kwa Dar vs Nairobi.....Hawezithubutu kwingineYule jamaa alianza na mioto amepotea kwa hewa, hajui hili battle Ichoboy alijaribu akaachana nayo.
Hata kama ndugu. Ukweli ukubalike tu Kisumu iko juu ingawa mimi ni Mtanzania.Obvious bias. Mwanza was covered for less than 2 min of that video.
I bet it was made by a Kenyan!
Mwanza ilishapigwa chini na ELDORET.