Kisumu International Airport

Kisumu International Airport

Mwembetayari

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
331
Reaction score
125
Niko safarini mjini Kisumu na nimeshangazwa na maendeleo yanayofanyika hapa. Wenzetu wamejenge kiwanja cha ndege and I am sure it is the most modern in East Africa ilhali kwetu KIA na IATA zinaporomoka na wanasiasa wanapiga mdomo kuhusu hali ya infrastructure Tanzania. Tazama.

I am too glad to know about the developments of East Africa.I have visited Africa once,but not east,I visited South Africa.And it's a marvelous place to visit,there are several attractions to see like Durban,Port Elizabeth,Capetown etc.But I know that,there are a lot of developments will take place in future in East Africa.
 
These folks are moving forward despite the complains and carkous feelings from their EAC colleagues...
 
Sisi uwanja wa Mwanza tu umetushinda kuuboresha katika kiwango cha kimataifa licha ya ukweli kwamba uwanja huo ni gateway to Uganda, Rwanda and Burundi.
 
Ya kwanza kimataifa ukitoa JKIA?
 
Ya kwanza kimataifa ukitoa JKIA?

The international Airports in Kenya are,
  1. Jomo Kenyatta International in Nairobi
  2. Wilson Airport in Nairobi
  3. Moi International Airport in Mombasa
  4. Kisumu International in Kisumu
  5. Eldoret International Airport in Eldoret
 
Niko safarini mjini Kisumu na nimeshangazwa na maendeleo yanayofanyika hapa. Wenzetu wamejenge kiwanja cha ndege and I am sure it is the most modern in East Africa ilhali kwetu KIA na IATA zinaporomoka na wanasiasa wanapiga mdomo kuhusu hali ya infrastructure Tanzania. Tazama.

sasa hapo wewe umechanganyikiwa nini mbona ni uwanja wa kawaida sana
 
Asante kwa info mkuu.
My question was directed kwa mtoa mada alie sema : I am sure it is the most modern in East Africa
Sasa nilikua najaribu kupata rank ya hiyo compared to Jomo Kenyata International Airport (JKIA)
But since you seem to know about it maybe unaweza kutwambia mtoa mada alimaanisha nini kusema it is the most modern in East Africa.

The international Airports in Kenya are,
  1. Jomo Kenyatta International in Nairobi
  2. Wilson Airport in Nairobi
  3. Moi International Airport in Mombasa
  4. Kisumu International in Kisumu
  5. Eldoret International Airport in Eldoret
 
Asante kwa info mkuu.
My question was directed kwa mtoa mada alie sema : I am sure it is the most modern in East Africa
Sasa nilikua najaribu kupata rank ya hiyo compared to Jomo Kenyata International Airport (JKIA)
But since you seem to know about it maybe unaweza kutwambia mtoa mada alimaanisha nini kusema it is the most modern in East Africa.

It is the newest airport in Kenya. Wameimaliza January. The facilities are new and Modern. It's smaller than JKIA but it's facilities are up to date. Wanajenga terminal mpya Nairobi lakini kwa sasa facilities za kisumu international airport ni mpya na muundo wake wa kisasa. Nimetumia, Julius Nyerere na KIA, bongo na JKIA na Mombasa Kenya na kwa maoni yangu hii ya kisumu is the best.
 
Back
Top Bottom