Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,451
- 50,193
Kisu cha kawaida cha kukatia mboga...kidogo
Naona kina uhusiano wa karibu na jina lako, ukifanya makosa ukaondoa hiyo b kwa jina lako basi kitaingia kazini very soon
Kisu cha kawaida cha kukatia mboga...kidogo
Manguta mwenga mlongela nike..???kwa wandendeule maana yake kuna mtu umemuudhi.....kama uliamka asubuhi ukakikuta mlangoni.........unless otherwise.....
Plz nisaidieni nimekuta kisu katikati yamlango nini maana yake??????
Naona kina uhusiano wa karibu na jina lako, ukifanya makosa ukaondoa hiyo b kwa jina lako basi kitaingia kazini very soon