Kissing Facts and Kiss Benefits

Kibunango

Platinum Member
Aug 29, 2006
8,420
2,271
7xb49c3.jpg
The world's longest kiss took place on January 28, 2002. Louisa Almodovar and Rich Langly of New Jersey kissed for a record 30 hours, 59 minutes and 27 seconds on a segment of "Ricki Lake".

6jxtj4o.jpg
Matrimonial pollsters' studies prove that a man who kisses his wife good-bye when he leaves for work every morning averages a higher income than does the fellow who doesn't do that thing

80ww01g.jpg
In medieval Italy kisses weren't taken, or given, lightly. If a man and a woman were seen embracing in public they could be forced to marry!

85w534m.jpg
Our brains have special neurons that help us locate each others lips in the dark. (It's really true too! I've tried it!)

6ouvww9.jpg
It is estimated that the average person will spend about 20,160 minutes kissing in their lifetime.

82e6h6v.jpg

You burn 26 calories in a 1 minute kiss.

6lkb8n4.jpg
The first kiss ever shown in a movie was in 1896. The movie, was called The Kiss.

87k24ab.jpg
Hershey's Kisses got their name because the machine that makes them looks like it's kissing the conveyor belt.

6t062dx.jpg
50% of all people kiss before they turn 14.
Kissing helps reduce tooth decay. Kissing increases the mouth's production of saliva, and saliva helps clean the mouth thus aides prevention of tooth decay
 
ina maana waafrika wanajificha wakati wana-kiss?
mbona zote ni za wadhungu?
 
:(

...jinsi nilivyobanwa na tonsillitis hapa, hata huo utamu wa 'busu' siutaki,...nice topic though... thx.
 
Mkikutana wawili ambao vinywa vyenu viko katika hali nzuri kiafya na kiusafi hakika huu mchezo naupenda sana,na ukipata mwenza anejua ni raha tu.
 
Mkikutana wawili ambao vinywa vyenu viko katika hali nzuri kiafya na kiusafi hakika huu mchezo naupenda sana,na ukipata mwenza anejua ni raha tu.

Kwa kweli inapendeza sana lakini kwa sisi waafrika tukianza haya mambo tunarudi palepale, wanajifanya wanzugu, kalishwa limbwata, hawana akili, bangi, walevi ...... kwani basi mnapokuwa huko chumbani msivifanye pia basi. Inabakia kuwa sasa NATAKA SITAKI. Why shldn`t we be open and express our fillings kama wenzetu. Na ndo maana tunakuwa ya mwisho tuu.
 
Ukimpata mjuzi hata siku moja moja mnaishia kubusu na kupapasana tu si lazima ku do.
 
Ukimpata mjuzi hata siku moja moja mnaishia kubusu na kupapasana tu si lazima ku do.
....Ngumu sana hiyo lagatege, ndio maana blacks mabusu ni gizani tu kwani baada ya busu joto linapanda mtu anatafuta kaupenyo kako wapi amemalize mambo...Uvumilivu zero!!!
 
....Ngumu sana hiyo lagatege, ndio maana blacks mabusu ni gizani tu kwani baada ya busu joto linapanda mtu anatafuta kaupenyo kako wapi amemalize mambo...Uvumilivu zero!!!

Sio ngumu kipanga, ni kwasababu wafrika wameweka akilini mwao baada ya mabusi basi kinacho fatwa ni ku do. Ambayo kwa hali halisi sio hivyo that is something else kabisa ambacho kwa binafsi naweza kukiita mbolea ya mapenzi.
 
dah yan huyo aliyesema sometimes vimuchezo hivi sio lazima hata kudo,namuungu mkono kama nini sijui yuko ndani yangu??au ndo my wife maana humu jf watu wengi hatujuani
 
..Penny, muda wa show game haupo! Kiss moja next kitu na box si ndio mapenzi ya kwetu au unasemaje?
 
dah yan huyo aliyesema sometimes vimuchezo hivi sio lazima hata kudo,namuungu mkono kama nini sijui yuko ndani yangu??au ndo my wife maana humu jf watu wengi hatujuani

Ha ha ha ha! mambo ya JF hayo kama yule sister aliesema mumewe hapendi kuoga jamaa akajibu itabidi nijirekebishe,great place you got at JF.
 
Sio ngumu kipanga, ni kwasababu wafrika wameweka akilini mwao baada ya mabusi basi kinacho fatwa ni ku do. Ambayo kwa hali halisi sio hivyo that is something else kabisa ambacho kwa binafsi naweza kukiita mbolea ya mapenzi.

Ni self control mki-romance siku 2 siku ya 3 mnamalizia hata hamu inakua juu na mna-enjoy,its all in the mind.
 
..Penny, muda wa show game haupo! Kiss moja next kitu na box si ndio mapenzi ya kwetu au unasemaje?

Ndungu yangu sio mambo ya show game! inabidi tubadilike sikubaliani na point yako kabisaaa. A kiss should be everywhere, anytime, anyplace.. kwa nini tuzitese nafsi zetu! eti.
 
Ndungu yangu sio mambo ya show game! inabidi tubadilike sikubaliani na point yako kabisaaa. A kiss should be everywhere, anytime, anyplace.. kwa nini tuzitese nafsi zetu! eti.
.....Mnh!!! Haya kama hali ya hewa itaruhusu naweza kujaribu lakini kiss leo, kiss kesho mlo mpaka kesho kutwa au mtondogoo? kazii kweli kweli!!!
 
1:Muwe wasafi wa vinywa......uvutaji wa sigara,pombe hasa Mnazi,vitunguu swaumu,kabeji inaweza kufanya mdomo kutoa harufu mbaya kama kinywa hakitasafishwa vyema

2.Denda ni popote pale linapendeza mkiwa viwanjani,kwenye makochi,jikoni.....

3.Mwanamke ndio kiungo awe mtundu kwenye game hii......ni vyema mkianza game hili kichwa chako kilalie upande wa kulia.....

4.

Faida zake:
1.Inaleta hamu

2.Kujiamini......

3.Haisababishi kupata gonjwa la ukimwi ni mapenzi salama

Onyo
Fungus kama mwenza wako kinywa chake kina gonjwa hilo.
 
..Penny, muda wa show game haupo! Kiss moja next kitu na box si ndio mapenzi ya kwetu au unasemaje?
Yeah hakuna kuchelewesha
Mara nyingi waafrika tunacheat kwenye mapenzi so ukipata usicheleweshe
 
Yeah hakuna kuchelewesha
Mara nyingi waafrika tunacheat kwenye mapenzi so ukipata usicheleweshe

Mi nilikua naongelea watu ambao wako kwenye uhusiano hii ingine inafahamika ni 'hit and run' spidi 120 kwenye kona.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom