Tetesi: Kisopwa kuna nn jaman?

wiser1

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
2,471
3,646
Wazima humu naomba kupata taarifa zenye uhakika kuhusu kisopwa huko Dar ama iko pwani sina uhakika sana,nasikia wanajeshi wanavunja na kubomoa nyumba za watu watoke kwenye maeneo yao ,ambayo kwa tetesi tu ,,Mh Kikwete aliwagawia wananchi ili wayaendeleze! Je kuna ukweli wa hizi taarifa? Maana nna kaeneo huko niliweka vimiti vya matunda.

Nawasilisha.
 
Nimekutumia namba ya mwenyekiti wa kisopwa. Fanya mawasiliano nae ujue wanakobomolewa ni eneo lipi ujijue kama nawe ni muhanga au lah. Ni kweli Kuna eneo la jeshi kule. Msaada wangu ni huo mkuu
 
wanajeshi wakiingia 'uraian' na kuanza kuwabughi raia tafsi yake hiyo ni vita!
 
Jamii forum inavituko jaman MTU ana eneo (kiwanja) lakn hajui kiwanja chake kipo mkoa gan haya n maajabu otherwise hicho kiwanja ulipewa tu kwa mdomo na hujawah kwenda huko ... Mm binafs hainiingii akilini MTU awe na uwanja lakn hajui mkoa gani
 
Asante sana kiongozi
Nimekutumia namba ya mwenyekiti wa kisopwa. Fanya mawasiliano nae ujue wanakobomolewa ni eneo lipi ujijue kama nawe ni muhanga au lah. Ni kweli Kuna eneo la jeshi kule. Msaada wangu ni huo mkuu
 
Nishajibiwa! Kwa kukusaidia unayedhania vituko,kuna eneo lilokuwa mkoa wa pwani baadae likaonekana liko mkowa wa Dar, kwahyo mpaka nnavyoongea hapa sina uhakika km lilishapatiwa ufumbuzi! Kwahyo tulia
Jamii forum inavituko jaman MTU ana eneo (kiwanja) lakn hajui kiwanja chake kipo mkoa gan haya n maajabu otherwise hicho kiwanja ulipewa tu kwa mdomo na hujawah kwenda huko ... Mm binafs hainiingii akilini MTU awe na uwanja lakn hajui mkoa gani
 
Sio kweli. Jeshi letu ni la kulinda raia dhidi ya maadui wa nje. Iweje tena jeshi chini ya general na amirijeshi livunje sheria?
 
Hilo eneo lilikua Dar es salaam Manispaa ya Ubungo,ila kwa sasa lipo Kisarawe Mkoa wa Pwani.
Wazima humu naomba kupata taarifa zenye uhakika kuhusu kisopwa huko Dar ama iko pwani sina uhakika sana,nasikia wanajeshi wanavunja na kubomoa nyumba za watu watoke kwenye maeneo yao ,ambayo kwa tetesi tu ,,Mh Kikwete aliwagawia wananchi ili wayaendeleze! Je kuna ukweli wa hizi taarifa? Maana nna kaeneo huko niliweka vimiti vya matunda.

Nawasilisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom