Kisomo kwanza!

Mafisadi wooote, waende motoni waungue mpaka kule kwenye biolojia!!!
 
hapo wanapigwa jua mchana kutwa, sijui wanafanyaje wakati wa masika
 
Huenda hiyo ni Tuition, mwl hajapata mishahara ya miezi kadhaa wala posho ya kujikimu, kawa mbunifu.
 
Kama utaangalia kwa makini,, kilichoandikwa hapo ni hati za ARABIC,,, itakua walikua wanafundishwa Arabic lesson,, ama sio TZ
 
bado tz hihi kuna sehemu ziko hivihivi.inatia hasira
af unakuta hawa wakuu wanajipulizia viyoyozi
kwenye ma v8 kuelekea kwa vimada wao aghrrrrrr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…