WA KISHUA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 365
- 130
Sio siri Tangu nianze kujihusisha na mambo haya ya Mapenzi najipongeza kwa kuwa na Kismati kweli, Yaani kila ninapokanyaga Demu WA KISHUA mwenzangu au Mfanyakazi Wa Benki au Mfanyabiashara, lakni tatizo langu hawa wanawake nikishakaa nao muda mrefu huwa nawachoka na kuwatema kama Dagaa vle huku nikiwaachia majeraha Makubwa sana ya Mapenzi, Ivi inatoka na nini Kuwakinai wanawake? ni mimi au na nyie wenzangu pia?