Sasa kimeficha siri au unauliza swali?
Vijana wa Bavicha akili zenu kweli moja na robo!
ha ha ha mkuu nimecheka ujueSasa kimeficha siri au unauliza swali?
Vijana wa Bavicha akili zenu kweli moja na robo!
Hadi mimi nashangaa hizo akili za UVCCMNashindwa kuelewa uliweza vp kufahamu historia ya Mafia wa Italia ukashindwa kufahamu historia ya kisiwa kilicho karibu sana na nchi unayoishi! Haya ndio matatizo ya elimu za kubabaisha yaani unakuwa mgeni katika mazingira yako mwenyewe..
Sasa kimeficha siri au unauliza swali?
Vijana wa Bavicha akili zenu kweli moja na robo!
Mafia = maana yake Maji yapo....!