Umemaliza?WanaJf.
NImeona c vbya kushare naye fursa hii ambyo nimeiita KISIMAPAY.
KisimaPay ni mradi wa kumiliki visima, hii fursa ipo eneo flani Kilosa na Gairo- Morogoro. Max 10millions as capital. Mradi ukiwa tayari, fanya kisima 1 kwa kaya 250, dumu 3 za lita 20= utauza kwa 200/=, 200/= mara 250 per day = 50000. Mara mwaka sawa 16550000+. Mahesabu hayo ni kwa minimum.
Kutuelezeakumaliza nini mkuu @Huninyo ,?
Abdul, hizo hesabu zako za capital mil 10 inaweza kuwa ndogo. Kabla ya kuchimba kisima kuna survey ambayo ndiyo ita determine uchimbe kisima cha mita ngapi. Fahamu ya kuwa jinsi kina kinavyokuwa kirefu ndipo gharama zinaongezeka. Jambo lingine ni kwamba huo mradi lazima ulenge sehemu ambayo watu wanashida sana ya maji na hakuna chanzo chao kingine cha maji hivyo piga ua lazima anunue maji kwako tu.WanaJf.
NImeona c vbya kushare naye fursa hii ambyo nimeiita KISIMAPAY.
KisimaPay ni mradi wa kumiliki visima, hii fursa ipo eneo flani Kilosa na Gairo- Morogoro. Max 10millions as capital. Mradi ukiwa tayari, fanya kisima 1 kwa kaya 250, dumu 3 za lita 20= utauza kwa 200/=, 200/= mara 250 per day = 50000. Mara mwaka sawa 16550000+. Mahesabu hayo ni kwa minimum. NB: Ili kiwe modern lazima kitumie solar energy au ectricity power ya generator au umeme wa Tanesco.
Wasisahau na ya uncle magu tuu maana naye atakuwa na kodi yake hapo ya Serikali yake.Kwenye hiyo 200, kodi ni 36. Msisahau!
Sawa tu mkuu, kulipa kodi ni jambo jema sana tutakuwa tunachangia maendeoleo ya nchi yetu. TRA wakitu mwogozo ni asilimia ngp wanatoza na kivp, nt cose tutalipa tuh.Wasisahau na ya uncle magu tuu maana naye atakuwa na kodi yake hapo ya Serikali yake.
Sehemu gani huko na umefanya utafiti kuhusu maji ya chumvi? au je ukipata maji ya chumvi unafanye? Je hakuna visima vya wazi na visima vinginevyo?mkuu Smt016 nimekusoma, u talk right, ktk eneo hilo nimgundua changamoto ya maji ni kubwa, dumu la lita 20 linauzwa 300 hadi 500 tshs. Uchunguzi unaonyesha ukiwa na 10m unafanya hvyo ulivyosema tena modern ambacho ktatumia solar energy au ectricity power.
Kaulize TRA, mwaka huu kodi tuKivp? toa ufafanunuzi mkuu!