Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,958
Mbona mm naona maandishi ya Kiislam hapo?
wewe kweli mafinyofinyo,hayo ni maandish ya kiarab
Mkuuwewe kweli mafinyofinyo,hayo ni maandish ya kiarab
Af robot la kike kugegedana linaweza?
Lugha ya kiarabu,hiyo ni lugha ya kimataifa,mtoto yoyote wa madrasa ukimleta hapo anakusomea bila tabu,ni Tanzania tu ajira za wanaojuwa lugha hiyo no chache,lakini sehemu nyingi duniani,waliosemea lugha hii wanapata ajira,mpaka kwenye viwanda vingi tu.Maana bidhaa nyingi zinakuja na maelekezo ya lugha ya kiarabu ,ikiwa ni miongoni mwa lugha za kimataifa.Zipo pia biblia za lugha ya kiarabu kwa wanaotumia lugha ya kiarabu.Mbona mm naona maandishi ya Kiislam hapo?
Af robot la kike kugegedana linaweza?
Lugha ya kiarabu,hiyo ni lugha ya kimataifa,mtoto yoyote wa madrasa ukimleta hapo anakusomea bila tabu,ni Tanzania tu ajira za wanaojuwa lugha hiyo no chache,lakini sehemu nyingi duniani,waliosemea lugha hii wanapata ajira,mpaka kwenye viwanda vingi tu.Maana bidhaa nyingi zinakuja na maelekezo ya lugha ya kiarabu ,ikiwa ni miongoni mwa lugha za kimataifa.Zipo pia biblia za lugha ya kiarabu kwa wanaotumia lugha ya kiarabu.
sasa hiyo quran unayosema kakariri si ndio lugha yenyewe ya kiarabu,huyo wa madrasa,wa hapo mtaani ndio sawa na chekechea,akiendelea mbele kwenye madrasa za juu anazidi kupata Elimu,kuna ibtidaiya(madarasa ya chekechea),kuna mutawasta (msingi),kuna thanawi(secondary) kuna mahad(college),kuna jami'iHapa tusidanganyane bwana,mtoto wa madrasa aliyyekariri koran hawezi kujua kiarabu si tunawaona na kuishi nao mitaani..
Af robot la kike kugegedana linaweza?
sasa hiyo quran unayosema kakariri si ndio lugha yenyewe ya kiarabu,huyo wa madrasa,wa hapo mtaani ndio sawa na chekechea,akiendelea mbele kwenye madrasa za juu anazidi kupata Elimu,kuna ibtidaiya(madarasa ya chekechea),kuna mutawasta (msingi),kuna thanawi(secondary) kuna mahad(college),kuna jami'i
(university).Kwa ujue lugha ya kiarabu ni lugha ya kimataifa na ya kiabiashara toka karne na karne,hata ndani ya biblia ya kiswahili mna maneno ya mengi ya kiarabu,asilimia 25,ya lugha ya kiswahili,ambayo ni lugha ya Taifa la Tanzania ni lugha ya kiarabu,hata lugha yenyewe ya kiswahili,imeitwa kwa lugha ya kiarabu,sahil ,maana yake pwani,kwa kiarabu.
Kuna majina ya miji kadhaa ya Tanzania yameitwa kwa majina ya kiarabu,kama Dar es salaa, Tabora(kwa kiarabu Tabuur,),Tarime, kilwa, n.k.