Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 17,547
- 28,493
Sintofahamu tunayoiona sasa ndani ya CCM, imetengenezwa na rais mstaafu Jakaya Kikwete.
Wanachama wa CCM tunalaumu kwa vile utaratibu wa kikatiba haukufuatwa.
Suala la kumteua mgombea wa kiti cha urais NJE ya utaratibu na katiba ya chama lilikuwa kosa kubwa.
Na hili limemjengea Mwenyekiti wa CCM aliyepo madarakani, Mama Samia, mazingira magumu sana, ambayo hayakutarajiwa.
Hata hivyo CCM ina kawaida ya kujirekebisha, endapo imefanya makosa.
Mimi mwanachama wa siku nyingi sana wa CCM.
TANU, ilifanya makosa katika msimamo wake miaka ya 1974 au 75 kwa MUSOMA RESOLUTION.
Resolution hii ilisema vijana waliomaliza Form 6 lazima waende JKT kwa mwaka mmoja.
Matokeo hasi kiuchumi na kielimu yalilazimisha CCM ilivyoundwa, kujisahihisha.
Mwaka 1977, CCM ilikuja na OPERATION TUJUSAHIHISHE, ili kukubali kuwa kulikuwa na makosa, na kusahihisha makosa.
Siyo siri pamoja na makosa, Kikwete ana ushawishi katika CCM.
Wito wangu ni yeye mwenyewe Kikwete, amshauri mama hadharani namna ya kusahihisha makosa katika uteuzi ndani ya CCM, nafasi ya Urais.
KATIBA IFUATWE.