Kisiasa, kwa matukio haya mawili unapata tafsiri gani?

Hili hata mimi limenishangaza sana.

Yani sio kitu ambacho nilitegemea akifanye hasa kwa kuangalia historia ya maamuzi yake.
Hapana shaka Bwana Mkubwa amezungukwa na genge la wahalifu wasioitakia mema nchi hata na yeye mwenyewe pasipo kujua maana wanajua kumsifia na kujificha kwenye kivuli cha uzalendo!!!
 
Ishia hapo hapo .


Morogoro ina watu 2300000


Kagera ni ya tatu baada ya dar na mwanza Kwa population density na pia Kwa idadi ya watu .

Ina watu 3000000 na bado density ni kubwa.


Mwisho huwezi linganisha wahaya na waluguru Kwa lolote lile utachekwa.halafu unaonekana hujawahi fika kagera.

Kuhusu umalaya . hiyo ni tabia ya mtu na wala sio ugumu wa maisha hata kidogo na ni kila kabila. Hata wayahudi pia pamoja na kuwa pure race wanaoongoza Kwa umalaya hata yesu anajua Hilo.
Hii haliondoi kuwa kagera na wahaya are successful kuzidi Moro mara Mia.
 
Upo hapo
 
Hatutaki watu wafupi katika mkoa wetu .hata husipokuja huna impact yoyote.


Watu milioni 3 wanaoishi kagera sio wajinga na hawaishi Kwa kubahatisha.

Halafu kagera sio mjini Tu kama morogoro mlivyo huku ni vijini ndo watu wamejazana.this mean maisha ni Bora vijijini kuliko huko kwenu
 
Sawa, Wahaya mna elimu si ndio, mna ela si ndio,wazuri si ndio, umeshinda, kweli tunapendelewa.
 
Sawa, Wahaya mna elimu si ndio, mna ela si ndio,wazuri si ndio, umeshinda, kweli tunapendelewa.
Hasira za mkizi hiz.

Eti morogoro? Morogoro hii watu wanaokimbilia kuchota mafuta? Ndo unalinganisha na kagera?


Vijiji vya ajabu njoo Bukoba uone vijijini vilivyojengeka mfano huu
 
Hiyo ni hofu, propaganda,usanii, uongo na ulaghai kwa ajili ya uchaguzi 2020 na watanzania waliowengi watalia pamoja na shetani mkuu mimi kama mimi sidanganyiki
kwahiyo kumbe kura halari huwa zinapigwa na kuamua mshindi
.wabongo sijui mna msimamo gani haki ya Mungu ndio maana hawa ndama wanawafanya vibaya.
 
Mashindano ya makabila yana faida gani kwa watanzania kwani mwenye macho anaambiwa tazama au roho mbaya za kuchukia makabila fulani ndizo zinashababisha kushindana?
 
Kama ni kauli zilizotolewa na mtu mmoja basi mtu huyo atakua na matatizo makubwa ya ufahamu!
 
Hili litakuwa tatizo lako mleta mada, utakuwa umenukuu vibaya kauli zote hizo.
 
Mkuu mbona unaandika mpaka jaziba zako zinaonekana kwenye maandishi?? Swali ni kwamba kuna tofauti gani ya janga la tetemeko na hilo la kwenu mpaka rais amewaonea ninyi huruma kuliko wa tetemeko???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…