instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 11,381
- 14,186
Mke wake ni wa mwanza.Halafu si ni Shemeji yao kwani hata Mkewe ni wa huko huko au?
Sema magu amesoma katoke seminary ipo huko kagera ingawa alifukizwa form three
Mke wake ni wa mwanza.Halafu si ni Shemeji yao kwani hata Mkewe ni wa huko huko au?
Rais anaongoza mikoa au watanzania???Huwezi kufananisha Morogoro na Kagera.
Kagera ni mpakani huko ndio maana John hakupapa kipaumbele. Morogoro waziri alisema ni mkoa ambao upo barabarani kila mtu lazima apite hapo hivyo lazima papewe uangalizi wa kipekee.
Mke wake ni Msukuma wa MisungwiHalafu si ni Shemeji yao kwani hata Mkewe ni wa huko huko au?
Mke wake ni Msukuma wa Misungwi
Kama kuna mwadamu hapa Tz atakayepiga kura ya uraisi 2020 kuchagua CCM, huyu ni adui ya Taifa letu!
Nashukuru Mungu kwa umri wangu huu nakaribia 50, nimeshuhudia mageuzi mengi ya kisiasa nchini, nimepiga kura toka uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi. To be sincerely , sijawahi kuipenda CCM kama chama. Na watendaji wake, maamuzi wanayofanya ya kuumiza watu, ndio yananifanya nizidi kuichukia CCM.Kuna tofauti Kubwa ya ubaya wa CCM kama Chama na Yule anayekifanya chama cha CCM kionekane kibaya. Binafsi sina tatizo na chama cha CCM na nakipenda hadi pumzi yangu ya mwisho hapa duniani.
Je Wewe unakichukia chama cha CCM kama CCM au wale Watendaji wakuu wa CCM? Nasubiri jibu lako tafadhali.
Elewa kwamba kuna mikoa yenye umuhimu zaidi kuliko mikoa mingine iwe unataka iwe hivyo au hutaki. Hiyo elimu hautafundishwa shuleni.Rais anaongoza mikoa au watanzania???
Umuhimu wa mkoa kwa nini usababishe upendeleo?? Mikoa yote wanaishi watanzania ambao inabidi wahudumiwe sawa. Alafu kama hujui mikoa iliyoko mipakani ina umuhimu kuliko unavofikiriElewa kwamba kuna mikoa yenye umuhimu zaidi kuliko mikoa mingine iwe unataka iwe hivyo au hutaki. Hiyo elimu hautafundishwa shuleni.
Endelea kuleta ubishi. Unadhani Wilaya ya Kondoa itapewa kipaumbele sawa na wilaya ya Chato.Umuhimu wa mkoa kwa nini usababishe upendeleo?? Mikoa yote wanaishi watanzania ambao inabidi wahudumiwe sawa. Alafu kama hujui mikoa iliyoko mipakani ina umuhimu kuliko unavofikiri
Waathirika wa tetemo kagera wemeishia kutukanwa tu na rambirambi kasepa nazo ila vibaka wafyonza kiwese wamepewa mshiko @5k . Afu mungu leo kaongeza idadi wamefikia 89 wemebaki 23 hizo 5k alizowapa ndio itawazikia shwain hao💩👹👹👹 meko aende kuwazika kabisaaTetemeko la Ardhi Kagera lililowahusu Watanzania ambao hawakuwa na hatia yoyote ile
" Sijalileta Mimi na hakuna Hela ya Kutoa tuvumiliane tu mwenye Uwezo wake ajenge au msaidiane Kujenga taratibu na isitoshe hata hili Tetemeko limetokana na Uzembe wenu wa Kutokujenga vizuri Makazi yenu na ndiyo maana lilivyokuja limeleta madhara haya makubwa Kwenu hivyo msilalamike"
Ajali ya Lori la Mafuta Morogoro iliyowahusu Watanzania wengi kutokana na Uzembe Wao
" Ni bahati mbaya hawakuiombea Ajali na nimewapa Wagonjwa Pesa za Kujikimu Shilingi Laki Tano Tano, naomba watibiwe daraja la Kwanza, wale wanachotaka ikibidi hata Wavimbiwe kisha Bili iletwe Serikalini tutalipa tu hata ikiwa ni kiasi gani na hata Wahudumu nao nimewapa Pesa pia kwa Kazi yao nzuri "
Karibuni katika Mjadala.