Kisiasa, kwa matukio haya mawili unapata tafsiri gani?

cleverbright

cleverbright

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Messages
1,530
Points
2,000
cleverbright

cleverbright

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2015
1,530 2,000
Tetemeko la Ardhi Kagera lililowahusu Watanzania ambao hawakuwa na hatia yoyote ile

" Sijalileta Mimi na hakuna Hela ya Kutoa tuvumiliane tu mwenye Uwezo wake ajenge au msaidiane Kujenga taratibu na isitoshe hata hili Tetemeko limetokana na Uzembe wenu wa Kutokujenga vizuri Makazi yenu na ndiyo maana lilivyokuja limeleta madhara haya makubwa Kwenu hivyo msilalamike"

Ajali ya Lori la Mafuta Morogoro iliyowahusu Watanzania wengi kutokana na Uzembe Wao

" Ni bahati mbaya hawakuiombea Ajali na nimewapa Wagonjwa Pesa za Kujikimu Shilingi Laki Tano Tano, naomba watibiwe daraja la Kwanza, wale wanachotaka ikibidi hata Wavimbiwe kisha Bili iletwe Serikalini tutalipa tu hata ikiwa ni kiasi gani na hata Wahudumu nao nimewapa Pesa pia kwa Kazi yao nzuri "

Karibuni katika Mjadala.
 
S

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Messages
5,306
Points
2,000
S

Sexless

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2017
5,306 2,000
Hili tukio la ajali ya lori la mafuta imetokea karibu sana na uchaguzi mkuu wa 2020, lkn pia ni muda mfupi sana tangu waraka wa makatibu wakuu wa ccm utolewe.

Ili kujisafisha na kujiandalia mazingira ya kukubalika ilikuwa ni lazima aseme na kufanya aliyoyafanya.

Lkn iwe jua iwe gharika 2020 jiwe tupa kule
 
S

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Messages
5,306
Points
2,000
S

Sexless

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2017
5,306 2,000
Hiyo ni hofu, propaganda,usanii, uongo na ulaghai kwa ajili ya uchaguzi 2020 na watanzania waliowengi watalia pamoja na shetani mkuu mimi kama mimi sidanganyiki
Akili za wabongo ni shetani tu ndiyo anazijua. Pamoja na madudu yoote ya jiwe yanayopelekea wabongo waishi kama mnyama nguchiro, lkn jiwe akicheza igizo moja tu wanasahau shida zoote.

Hata hivyo, iwe jua iwe gharika 2020 jiwe tupa kule
 

Forum statistics

Threads 1,326,248
Members 509,448
Posts 32,215,758
Top