Kisiasa, kwa matukio haya mawili unapata tafsiri gani?

Hili hata mimi limenishangaza sana.

Yani sio kitu ambacho nilitegemea akifanye hasa kwa kuangalia historia ya maamuzi yake.
Hapana shaka Bwana Mkubwa amezungukwa na genge la wahalifu wasioitakia mema nchi hata na yeye mwenyewe pasipo kujua maana wanajua kumsifia na kujificha kwenye kivuli cha uzalendo!!!
 
Wewe kweli una matatizo, Soma takwim za NBS huone mpo Wa ngapi katika rank za umasikini. Alaf unaposema Kagera ni kubwa kwa population, nimekuona hujielewi. Morogoro ni ya pili kwa ukubwa eneo Tanzania, idadi ya watu ni milion 2,300,000. Mikoa ambayo inaishinda Morogoro ni 1.Dar, 2. Mwanza, 3. Mbeya na 4.Tanga alafu ndio Morogoro. Elimu haina effects yeyote katika maisha zaidi kukuomboa fikra. Njoo uone Dada zako Wakihaya wanajiuza huku, ndo utaona kama elimu imewakomba au la. Usifananishe mkoa wa Kagera na Morogoro wakati wahaya wamejazana morogoro. Ata unipe hela siwezi ishi Kagera, maana nitakua napoteza muda duniani wakati wenzangu wanaishi. Nimefunga mjadala.
Ishia hapo hapo .

Morogoro ina watu 2300000

Kagera ni ya tatu baada ya dar na mwanza Kwa population density na pia Kwa idadi ya watu .

Ina watu 3000000 na bado density ni kubwa.

Mwisho huwezi linganisha wahaya na waluguru Kwa lolote lile utachekwa.halafu unaonekana hujawahi fika kagera.

Kuhusu umalaya . hiyo ni tabia ya mtu na wala sio ugumu wa maisha hata kidogo na ni kila kabila. Hata wayahudi pia pamoja na kuwa pure race wanaoongoza Kwa umalaya hata yesu anajua Hilo.
Hii haliondoi kuwa kagera na wahaya are successful kuzidi Moro mara Mia.
 
Wewe kweli una matatizo, Soma takwim za NBS huone mpo Wa ngapi katika rank za umasikini. Alaf unaposema Kagera ni kubwa kwa population, nimekuona hujielewi. Morogoro ni ya pili kwa ukubwa eneo Tanzania, idadi ya watu ni milion 2,300,000. Mikoa ambayo inaishinda Morogoro ni 1.Dar, 2. Mwanza, 3. Mbeya na 4.Tanga alafu ndio Morogoro. Elimu haina effects yeyote katika maisha zaidi kukuomboa fikra. Njoo uone Dada zako Wakihaya wanajiuza huku, ndo utaona kama elimu imewakomba au la. Usifananishe mkoa wa Kagera na Morogoro wakati wahaya wamejazana morogoro. Ata unipe hela siwezi ishi Kagera, maana nitakua napoteza muda duniani wakati wenzangu wanaishi. Nimefunga mjadala.
Upo hapo
Screenshot_20190814-141456.jpeg
 
Hatutaki watu wafupi katika mkoa wetu .hata husipokuja huna impact yoyote.

Watu milioni 3 wanaoishi kagera sio wajinga na hawaishi Kwa kubahatisha.

Halafu kagera sio mjini Tu kama morogoro mlivyo huku ni vijini ndo watu wamejazana.this mean maisha ni Bora vijijini kuliko huko kwenu
images%20(32).jpeg
Screenshot_20190729-092544.jpeg
 
Hatutaki watu wafupi katika mkoa wetu .hata husipokuja huna impact yoyote.

Watu milioni 3 wanaoishi kagera sio wajinga na hawaishi Kwa kubahatisha.

Halafu kagera sio mjini Tu kama morogoro mlivyo huku ni vijini ndo watu wamejazana.this mean maisha ni Bora vijijini kuliko huko kwenuView attachment 1181185View attachment 1181186
Sawa, Wahaya mna elimu si ndio, mna ela si ndio,wazuri si ndio, umeshinda, kweli tunapendelewa.
 
Sawa, Wahaya mna elimu si ndio, mna ela si ndio,wazuri si ndio, umeshinda, kweli tunapendelewa.
Hasira za mkizi hiz.

Eti morogoro? Morogoro hii watu wanaokimbilia kuchota mafuta? Ndo unalinganisha na kagera?

Vijiji vya ajabu njoo Bukoba uone vijijini vilivyojengeka mfano huu
tapatalk_1565413003452.jpeg
tapatalk_1557326061325.jpeg
tapatalk_1565413419699.jpeg
tapatalk_1565413060127.jpeg
 
Hiyo ni hofu, propaganda,usanii, uongo na ulaghai kwa ajili ya uchaguzi 2020 na watanzania waliowengi watalia pamoja na shetani mkuu mimi kama mimi sidanganyiki
kwahiyo kumbe kura halari huwa zinapigwa na kuamua mshindi.wabongo sijui mna msimamo gani haki ya Mungu ndio maana hawa ndama wanawafanya vibaya.
 
Mashindano ya makabila yana faida gani kwa watanzania kwani mwenye macho anaambiwa tazama au roho mbaya za kuchukia makabila fulani ndizo zinashababisha kushindana?
 
Tetemeko la Ardhi Kagera lililowahusu Watanzania ambao hawakuwa na hatia yoyote ile

" Sijalileta Mimi na hakuna Hela ya Kutoa tuvumiliane tu mwenye Uwezo wake ajenge au msaidiane Kujenga taratibu na isitoshe hata hili Tetemeko limetokana na Uzembe wenu wa Kutokujenga vizuri Makazi yenu na ndiyo maana lilivyokuja limeleta madhara haya makubwa Kwenu hivyo msilalamike"

Ajali ya Lori la Mafuta Morogoro iliyowahusu Watanzania wengi kutokana na Uzembe Wao

" Ni bahati mbaya hawakuiombea Ajali na nimewapa Wagonjwa Pesa za Kujikimu Shilingi Laki Tano Tano, naomba watibiwe daraja la Kwanza, wale wanachotaka ikibidi hata Wavimbiwe kisha Bili iletwe Serikalini tutalipa tu hata ikiwa ni kiasi gani na hata Wahudumu nao nimewapa Pesa pia kwa Kazi yao nzuri "

Karibuni katika Mjadala.
Kama ni kauli zilizotolewa na mtu mmoja basi mtu huyo atakua na matatizo makubwa ya ufahamu!
 
Hili litakuwa tatizo lako mleta mada, utakuwa umenukuu vibaya kauli zote hizo.
 
Je huna huakika kwamba sisi tunapendelewa , au ilimradi tu uongee hapa, Kama Morogoro kuwa na vyuo inatokana na Geographical location ya Mkoa ya kwamba ni rahisi kupitiwa na watu wanaoenda mashariki, kasikazini magharibi, magharibi na nyanda za juu kusini. Kama hospital za makanisa MORO tunazo nyingi kuliko Kagera, Matombo ,Mikumi ,Ifakara, Mahenge, Mlimba, Mvomero mapaka vijijini huko vidispensary vya dini na tumekua hatujui hospital ya serikal bali za mission tu, Pia Morogoro ilikua na vyuo toka mkoroni, TTC, IDM, Kigurunyembe, na vingine ambavyo watu kutoka makabila mbalimbali walisoma hapo. Sisi Morogoro hatuna umimi kama nyinyi, Morogoro mjini kuna makabila kama yote. Ndio maana ajari ya Msamvu katika Majeruhi 60 Waluguru kama 15 tu wengine ni makabila mengine. Lakini nyinyi tetemeko la ardhi walioadhirika ni Wahaya wenyewe. Jifunzeni kuishi na watu mtafanikiwa. Mna elimu lakini mkoa wenu (Kagera) masikini sana, kwa sababu hamtaki kujifunza kwa wenzenu ambao mnawaona masikini. Utajiri upo kwa masikini.
Mkuu mbona unaandika mpaka jaziba zako zinaonekana kwenye maandishi?? Swali ni kwamba kuna tofauti gani ya janga la tetemeko na hilo la kwenu mpaka rais amewaonea ninyi huruma kuliko wa tetemeko???
 
Similar Discussions

20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom