sasa
Samaritan unataka kujua nini kuhusu jina langu, umepita Ifunda sec nini kiongozi, Ndo maskani bhana. Ndo wanajenga barabara ya rami kwa sasa, na King Cross atatafuta njia ya kwenda coz itakuwa Iringa-Dom sawa na Iringa-Njombe au Dar-Moro kwa sababu ni kilomita 260 Iringa-Dodoma