Kisia Haya ni Matunda Gani?

Wenyewe tunayaita matofaa

Sasa wewe punguani "tofaa" ndiyo nini? hata kutamka huwezi? ni Toufah(a), hiyo "a" ni mkazio wa Kiswahili. Hilo ni jina la Kiarabu, kilichokizaa Kiswahili.

Double Punguani.
 
Sasa wewe punguani "tofaa" ndiyo nini? hata kutamka huwezi? ni Toufah(a), hiyo "a" ni mkazio wa Kiswahili. Hilo ni jina la Kiarabu, kilichokizaa Kiswahili.

Double Punguani.
Eti nini Bi Mwarabu? Ukimaanisha kuwa hili tunda linatoka huko kwenu uarabuni?
Hivyo huko kwenu hamna neon linaloitwa ustaarabu?

Hata hivyo nilikusudia waungwana niliposema "wenyewe' wewe wa daraja jengine uko huru kuiita tufaha. Sisi uliotuita punguani tutaendelea kutumia Kiswahili tuliyojifunza kwa wazee wetu nawe tumia hicho ulichokikuta shuleni.
 
Sasa wewe punguani "tofaa" ndiyo nini? hata kutamka huwezi? ni Toufah(a), hiyo "a" ni mkazio wa Kiswahili. Hilo ni jina la Kiarabu, kilichokizaa Kiswahili.

Double Punguani.
Jawabu y fidhuli ni 'sukut'
Hata hivyo 'wenyewe' nilikusudia waungwana wewe usiekuwamo kwenye kundi hilo unaruhusiwa kutumia 'tufaha'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…