Kisia akina nani hawa wawili?

Kisia akina nani hawa wawili?

Mkuu.@CHUAKACHARA Elimu kwa sasa hakuna Tanzania ila tu kuna masomo ya Elimu. Tangu aache Uongozi Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere mnamo mwaka 1985 Elimu ya Tanzania ndio imekufa mpaka leo hakuna cha elimu wala nini kuna masomo ya elimu lakini hakuna Elimu yenyewe.
Upo sahihi mkuu!kilichopo sasa hivi ni mladi watu waende shule tu!lakini suala la ubora halitiliwi mkazo hata kidogo!
 
Mkuu CHUAKACHARA Majibu ya mtihani wa Form 4 haya hapa chini ebu angalia hapa.


kp11122012.jpg
Hapa hakuna elimu,hawa watoto wameenda kukua tu!
 
Hakika mtoto wa nyoka ni nyoka!

Jamaa inaonekana anamwandaa mwanae awe mrithi wa kiti chake!viongozi wa Afrika hapo ndiyo huwa wananiuzi sana!


Ndivyo anavyotaka baba mtu kuwa amrithishe mwanae; lakini do not underestimate waganda kuwa watakuwa kondoo kama wabongo !!!
 
Ndivyo anavyotaka baba mtu kuwa amrithishe mwanae; lakini do not underestimate waganda kuwa watakuwa kondoo kama wabongo !!!
Ni kweli mkuu,lakini ili waweze kukabiliana na hii hila lazima wakubali kumwaga damu ya kutosha!
 
Back
Top Bottom