Kisia akina nani hawa wawili?

Kisia akina nani hawa wawili?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
home001pix.jpg
 
MziziMkau, unafanya nini kwenye computer? Mimi najaribu kuangalia matokeo ya form 4 hayafunguki.
 
Mtot wa nyoka ni nyoka! Basi Museveni na mwanae. Wanarithishana. Yatamkuta ya Gadafi! Ufalme, ndio udikteta, nasikia na mkewe ni waziri, na mashemeji etc, etc, etc......................................
 
MziziMkau, unafanya nini kwenye computer? Mimi najaribu kuangalia matokeo ya form 4 hayafunguki.
Omba MODS wakupe access, maana yamewekewa PASSWORD na Shukuru Kawambwa. Yamejaa MITUSI ya nguoni kama ile MITUSIl waliyotukanwa Bi' Kidude na Ndugai.:frusty:
 
Mkuu.@CHUAKACHARA Elimu kwa sasa hakuna Tanzania ila tu kuna masomo ya Elimu. Tangu aache Uongozi Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere mnamo mwaka 1985 Elimu ya Tanzania ndio imekufa mpaka leo hakuna cha elimu wala nini kuna masomo ya elimu lakini hakuna Elimu yenyewe.
 
Back
Top Bottom